KUHUSU SISI
Sehemu ya kuaminika ya ubunifu na uchapishaji
Hamia Digital ni kati ya timu moja wapo inayoaminika zaidi kwenye tasnia ya ubunifu na uchapishaji. Tunao uzoefu mzuri na timu yenye ujuzi mkubwa kuhakikisha kazi zetu zinakidhi viwango vya juu kabisa ili kuweka tabasamu kwenye nyuso za wateja wetu wakati wote, hutojutia kufanya kazi nasi.
- Kazi za viwango vya juu
- Miaka 7+ ya uzoefu
- Timu yenye ujuzi mkubwa
- Tunakamilisha kazi kwa wakati
Timu Ya Uongozi
Kutana na timu ya uongozi iliyopo nyuma ya Hamia Digital. Tupo tayari kukuhudumia kwa ubora wa hali ya juu.

Kelvin Priva
CEO
Nina uzoefu mzuri sana katika sekta ya ubunifu na uchapishaji, tokea 2017. Hivyo niwatoe hofu wateja wetu kwasababu huduma zetu zinakidhi viwango wakati wote.

Fadhil Abduly Shindo
General Manager
Haikuwa rahisi kwangu na rafiki yangu (CEO) kuanzisha Hamia Digital, kwa hivyo tunahakikisha kila mara kuwa wateja wetu wote wanaridhishwa na huduma zetu.

Frezier Nehatta
Project Manager
Kazi yangu ni kuhakikisha kuwa miradi yote tunayopokea kutoka kwa wateja wetu inakamilika kwa wakati. Tupo tayari kupokea na kuifanya kazi yako kwa ubora pia.